Nyumba ya Sanaa ni Makala ya Utamaduni ambayo inatoa fursa kwa wasanii na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.
…
continue reading
Authentic discussions on important topics like mental health, entrepreneurship, women's true empowerment and the deeper side of identity.
…
continue reading
Sanaa Ya Wasanii is a platform that celebrates self-made artists in their own right. We delve into their lives, discussing their projects and their impact on them and society. Follow the conversations on all platforms.
…
continue reading
Welcome to Advice and Tips with Sanaa, where amazing things happen. On this channel we will be talking about different ideas to talk about to help you in your daily life
…
continue reading
1
Mfahamu Leo Mkanyia Mwanamuziki wa Muziki wa Asili kutoka Tanzania
20:10
20:10
Lejátszás később
Lejátszás később
Listák
Tetszik
Kedvelt
20:10
Wanamuziki wa Muziki wa asili wamebadili vionjo vya asili wakijumuisha na vionjo vya Kisasa ili kuupaisha Muziki Kimataifa, Steven Mumbi amezungumza na Leo Mkanyia Mwanamuziki wa Muziki wa Asili kutoka TanzaniaRFI Kiswahili által
…
continue reading
1
Tanzania: Utunzi wa vitabu na Sikudhani Mohamed Jalala
20:00
20:00
Lejátszás később
Lejátszás később
Listák
Tetszik
Kedvelt
20:00
RFI Kiswahili által
…
continue reading
1
Changamoto za wanamuziki wa kizazi kipya wanaochipukia nchini Tanzania
20:04
20:04
Lejátszás később
Lejátszás később
Listák
Tetszik
Kedvelt
20:04
Wasanii wa Muziki wa kizazi kipya wanaochipukia nchini Tanzania walalama kutakwa Kimapenzi wa Watayarishaji wa Muziki, Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akiwa na Zainisha Nokolage maarufu Zainisha.RFI Kiswahili által
…
continue reading
1
Muziki wa asili kutoka nchini Tanzania
20:12
20:12
Lejátszás később
Lejátszás később
Listák
Tetszik
Kedvelt
20:12
Sanaa ya Muziki wa asili ni miongoni mwa sanaa zinazokua kwa kasi nchini Tanzania, Kutana na kundi la Sanaa lililowika katika majukwaa ya kimataifa wakiwa na bendi ya kipekee katika makala ya Nyumba ya Sanaa.RFI Kiswahili által
…
continue reading
1
Sanaa ya Uchongaji Vinyago nchini Tanzania
20:09
20:09
Lejátszás később
Lejátszás később
Listák
Tetszik
Kedvelt
20:09
Steven Mumbi amezungumza na Lyala Sebastian Mchongaji wa Sanaa za Vinyago.RFI Kiswahili által
…
continue reading
1
Sanaa ya uchoraji wa vinyago na fursa wa biashara inazoleta
20:13
20:13
Lejátszás később
Lejátszás később
Listák
Tetszik
Kedvelt
20:13
Wabunifu wa Sanaa ya Uchongaji Vinyago wamewekeza katika kung'amua fursa ya biashara kwa Mataifa ya Afrika Mashariki ili kujikwamua na vipato Duni, Steven Mumbi amezungumza na Mintanga Ramadhani Msanii wa Sanaa za Uchongaji Vinyago kutoka nchini Tanzania.RFI Kiswahili által
…
continue reading
1
Muziki wa HIP HOP nchini Tanzania
20:06
20:06
Lejátszás később
Lejátszás később
Listák
Tetszik
Kedvelt
20:06
Muziki wa HIP HOP nchini Tanzania umefifia kutokana na ugumu wa kufanya Muziki huo,Msanii PMawenge anasimulia hatua za kuchukua kuurejesha sokoni katika Makala ya Nyumba ya Sanaa.RFI Kiswahili által
…
continue reading
1
Tanzania: Sanaa ya ushairi na msanii Michael James maarufu Michael
20:10
20:10
Lejátszás később
Lejátszás később
Listák
Tetszik
Kedvelt
20:10
Sanaa ya ushairi inawavutia zaidi watu wanaotamani kujua utamu na upekee wa lugha adhimu ya Kiswahili, Chuo kikuu cha Dar es salaam kimewatambua na kuwapa fursa vijana waliosomea fani ya sanaa, kubobea katika kughani Mashairi. Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na Msanii Michael James maarufu Michael.…
…
continue reading
1
Tanzania: Muziki wa kizazi kipya kwa vijana
20:10
20:10
Lejátszás később
Lejátszás később
Listák
Tetszik
Kedvelt
20:10
RFI Kiswahili által
…
continue reading
1
Tanzania: Tunazungumza na kundi la wasani la viongozi generation
20:08
20:08
Lejátszás később
Lejátszás később
Listák
Tetszik
Kedvelt
20:08
Mwandishi wetu Steven Mumbi amezungumza na kundi la wasani la viongozi generation.RFI Kiswahili által
…
continue reading
1
Tanzania: Muziki wa kizazi kipya na Hussein Mussa Shundi Maarufu Rucky
20:13
20:13
Lejátszás később
Lejátszás később
Listák
Tetszik
Kedvelt
20:13
Muziki wa kizazi kipya umewawezesha vijana nchini Tanzania kujikwamua kimaisha kwa kujipatia kipato kupitia Sanaa hiyo,Katika Makala haya Steven Mumbi anazungumza na Hussein Mussa Shundi Maarufu Rucky.RFI Kiswahili által
…
continue reading
1
Mwanza: Msanii wa Bongo Fleva, Baraka the Prince ndiye mgeni wetu wiki hii
20:07
20:07
Lejátszás később
Lejátszás később
Listák
Tetszik
Kedvelt
20:07
Msanii wa Bongo Fleva, Baraka the Prince anauona muziki ni maisha, jambo linalomfanya afikirie zaidi namna mashabiki wake wataishi na kazi zake, Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na Msanii huyo.RFI Kiswahili által
…
continue reading
1
Tanzania: Wiki hii tunaliangazia kundi la Muziki la The Mafiki
20:12
20:12
Lejátszás később
Lejátszás később
Listák
Tetszik
Kedvelt
20:12
The Mafiki ni kundi la Muziki lililovuma kwa vionjo vya Muziki wa sasa, sasa wamekuja upya mara baada ya kusambaratika, Ungana na Steven Mumbi akizungumza na wasanii wa kundi hilo.RFI Kiswahili által
…
continue reading
1
Muziki wa Taarab nchini Tanzania naye Jike la Chui
20:18
20:18
Lejátszás később
Lejátszás később
Listák
Tetszik
Kedvelt
20:18
Mapinduzi ya Muziki wa Taarab yanajidhihirisha katika tenzi za wasanii wa Muziki huu kutoka tungo za Majigambo na sasa tungo za kuburudisha, Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na Jike la Chui.RFI Kiswahili által
…
continue reading
1
Zumbukuku nyimbo za taarab zinazokumbukwa hata sasa
20:13
20:13
Lejátszás később
Lejátszás később
Listák
Tetszik
Kedvelt
20:13
Zumbukuku ni miongoni mwa nyimbo zilizofanya vizuri katika muziki wa taarab, hii inashehenezwa na sauti ya kipekee ya kiume inayosikika katika muziki huo, Ally Star ndie aliyeimba wimbo huo; Ungana na Steven Mumbi katika makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na Ally Star kuhusu namna nyimbo hizo zilivyotia fora.…
…
continue reading
1
Mwanamuziki Ogisha Matale atoa wito wa amani mashariki mwa DRC
20:08
20:08
Lejátszás később
Lejátszás később
Listák
Tetszik
Kedvelt
20:08
Makala ya nyumba ya sanaa wiki hii imepiga kambi mjini Goma huko mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo ambako mwanzoni mwa mwezi mei mwandishi wetu Ruben Lukumbuka alikutana na msanii Ogisha Matale ambapo katika shughuli zake zake amekuwa akijaribu kuhimiza amani nchini, hususan eneo lake lenye kushuhudia mapigano ya mara kwa mara.…
…
continue reading
1
Mwanamziki Nyota Tiger mwalikwa wa makala Nyumba ya sanaa
20:07
20:07
Lejátszás később
Lejátszás később
Listák
Tetszik
Kedvelt
20:07
Nyota Tiger ni mzaliwa wa jijini Mwanza nchini Tanzania alilazimika kusafiri mpaka maeneo ya kusini mwa Afrika kukwepa adha za wazazi kumnyima fursa ya kufanya muziki. Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa.RFI Kiswahili által
…
continue reading
1
Mchango wa sanaa ya muziki wa asili katika usuluhishi wa mizozo DRC
20:10
20:10
Lejátszás később
Lejátszás később
Listák
Tetszik
Kedvelt
20:10
Katika makala ya nyumba ya sanaa wiki hii mwandishi wetu Ruben Lukumbuka ambaye hivi karibuni alitembelea mashariki mwa DRC ambako alikutana na Olivier wabahavu, msanii maarufu sana kufuatia nyimbo zake anazoimba katika lugha ya kihavu na kishi huko Kivu kusini na kaskazini, amezungumzia mchango wa sanaa ya muziki wa kiasili katika usuluhishi wa mi…
…
continue reading
1
Tanzania: Muziki wa Singeli na Man Fongo
20:04
20:04
Lejátszás később
Lejátszás később
Listák
Tetszik
Kedvelt
20:04
Muziki wa Singeli ni Miongoni mwa Muziki unaokua kwa kasi nchini Tanzania na nchi za Afrika,Wasanii wa Muziki huo wanapambana kuukuza Kimataifa, Man Fongo ni Miongoni mwa Wasanii Pendwa wa Muziki huo,Ungana na Steven Mumbi anazungumza na Msanii huyo.RFI Kiswahili által
…
continue reading
1
Tanzania: Muziki wa asili na Jilema Ng'wana Shija
20:05
20:05
Lejátszás később
Lejátszás később
Listák
Tetszik
Kedvelt
20:05
Katika Makala ya Wiki hii, Steven Mumbi amezungumza naye Jilema Ng'wana Shija msani wa muziki wa asili kutoka nchini Tanzania.RFI Kiswahili által
…
continue reading
1
Nyumba ya sanaa na msanii Tourna Boy kuhusu muziki wa kizazi kipya
20:10
20:10
Lejátszás később
Lejátszás később
Listák
Tetszik
Kedvelt
20:10
Karibu katika makala ya Nyumba ya sanaa nami Steven Mumbi, hii leo Msanii Tourna Boy wa kizazi kipya kutoka mjini Goma mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo akielezea kuhusu juhudi za vijana wasanii kuchangia katika juhudi za kurejesha amani ya mashariki mwa nchi hiyo, katika mazungumzo na mwenzangu Ruben Lukumbuka alipotembelea eneo la Go…
…
continue reading
1
Muziki wa Singeli na Torino Abdul Sykes kutoka Mbagala Tanzania
20:09
20:09
Lejátszás később
Lejátszás később
Listák
Tetszik
Kedvelt
20:09
Kwenye Makala ya wiki hii Stephen Mumbi anazungumza na msani Abdul Sykes kutoka Mbagala Tanzania.RFI Kiswahili által
…
continue reading
1
Wasanii wa mashariki ya DRC wachangia juhudi za upatikanaji wa amani
20:10
20:10
Lejátszás később
Lejátszás később
Listák
Tetszik
Kedvelt
20:10
Makala ya Nyumba ya sanaa wiki hii inamuangazia msanii wa muziki wa regae Mack El Sambo ambaye kwa zaidi ya miaka ishirini amekuwa akihimiza amani katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, hususan kwenye mji wa Goma katika mkowa wa Kivu Kaskazini. Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka ambaye hivi karibuni alitembelea mji wa …
…
continue reading
1
DRC: Ubunifu wa viatu vya ngozi mjini Goma na Christian Bazika
20:04
20:04
Lejátszás később
Lejátszás később
Listák
Tetszik
Kedvelt
20:04
Katika Nyumba ya sanaa wiki hii Steaven Mumbi akishirikiana na Ruben Lukumbuka ambaye wiki iliyopita alitembelea mji wa Goma ulioko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambako alikutana na mbunifu wa sanaa mbalimbali ikiwemo ubunifu wa kutengeneza viatu bwana Christian Bazika anayetengeneza bidhaa za ngozi mashariki mwa nchi hiyo.…
…
continue reading
1
Empowering African Minds to Lead from the Classroom to the World
14:07
14:07
Lejátszás később
Lejátszás később
Listák
Tetszik
Kedvelt
14:07
Have our schools taught us to aim too low? Let's face the uncomfortable truth: education in African communities may be setting us up for the sidelines rather than the spotlight. This episode brings to light the stark realities of an educational system that often glorifies external achievements while sidelining Africa's own monumental contributions.…
…
continue reading
1
GATHONI MUTUA ON HER AMERICAN DREAM
1:30:43
1:30:43
Lejátszás később
Lejátszás később
Listák
Tetszik
Kedvelt
1:30:43
Gathoni Mutua is a multi-faceted artist deeply passionate about holistic creativity. She stars as Sintamei in Single Kiasi which just started its second season, and is also an acting coach. Our host Sheila Kimathi had a chat with her as she took us through her journey in the film and art business. Follow this conversation and more on all our social…
…
continue reading
On this episode i will tell y'all a little about my self and what my channel will be about
…
continue reading
On this episode we will talk about how to deal with people who is stress and if you are stressed how to deal with it
…
continue reading