Tanzania nyilvános
[search 0]
Több
Download the App!
show episodes
 
Loading …
show series
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Wilaya ya Mkinga kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Stendi ya mabasi ya Mkinga katika muendelezo wa ziara yake mkoani humo tarehe 27 Februari, 2025.Ikulu Mawasiliano által
  continue reading
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Muheza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa CCM Jitegemee katika muendelezo wa ziara yake ya kikazi mkoani Tanga tarehe 27 Februari, 2025.Ikulu Mawasiliano által
  continue reading
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Wilaya ya Pangani kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Kumba ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kikazi mkoani Tanga tarehe 26 Februari, 2025.Ikulu Mawasiliano által
  continue reading
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza viongozi mbalimbali pamoja na Waumini wa dini ya Kiislam mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi upanuzi wa Msikiti Mkuu wa Ijumaa uliopo Tanga mjini tarehe 26 Februari, 2025.Ikulu Mawasiliano által
  continue reading
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azungumza na Wananchi wa Wilaya ya Kilindi, wakati akifungua Shule ya Sekondari ya wasichana Tanga iliyopo Mabalanga katika Kijiji cha Michungwani ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kikazi Kilindi mkoani Tanga tarehe 25 Februari, 2025.…
  continue reading
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Halmashauri ya Mji wa Handeni kwenye mkutano wa hadhara katika muendelezo wa ziara yake ya kikazi mkoani Tanga tarehe 25 Februari, 2025.Ikulu Mawasiliano által
  continue reading
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azungumza na wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe katika muendelezo wa ziara yake mkoani Tanga tarehe 24 Februari, 2025.Ikulu Mawasiliano által
  continue reading
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azungumza na wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto katika muendelezo wa ziara yake mkoani Tanga tarehe 24 Februari, 2025.Ikulu Mawasiliano által
  continue reading
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Mkata, katika uwanja wa Shule ya Msingi Mkata wilayani Handeni mkoani Tanga tarehe 23 Februari, 2025.Ikulu Mawasiliano által
  continue reading
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasanii wa Komedi Tanzania katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Februari, 2025.Ikulu Mawasiliano által
  continue reading
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan afunga Mkutano wa Tatu wa Nchi zinazozalisha Kahawa Barani Afrika (The 3rd G25 Africa Coffee Summit) katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Februari, 2025.Ikulu Mawasiliano által
  continue reading
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Maadhimisho ya Miaka 10 tangu kuanza kwa mafunzo ya Uongozi kwa Wanawake Tanzania (Female Future Program) pamoja na Mahafali ya Wahitimu wa Awamu ya 10 ya Mafunzo hayo katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Februari, 2025.…
  continue reading
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azungumzia kuhusu masuala ya matumizi ya Nishati Safi ya kupikia kwenye Mkutano wa Kawaida wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika katika ukumbi wa Nelson Mandela uliopo Makao Makuu ya Umoja huo, Addis Ababa nchini Ethiopia.…
  continue reading
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki Mkutano wa pamoja wa Wakuu wa nchi na Serikali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika katika ukumbi wa Kikwete, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Februari, 2025.…
  continue reading
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa halfa ya chakula cha mchana pamoja na washiriki wa zoezi la uokoaji wa ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa eneo la Kariakoo leo tarehe 30 Januari, 2025 Ikulu Jijini Dar es Salaam.Ikulu Mawasiliano által
  continue reading
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Masuala ya Nishati katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Januari, 2025.Ikulu Mawasiliano által
  continue reading
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye mkutano wa Waandishi wa Habari mara baada ya kushiriki Mjadala wa Kimataifa wa Norman E. Borlaung ambao uliandaliwa na Taasisi ya World Food Foundation katika Mji wa Des Moines, Iowa nchini Marekani tarehe 31 Oktoba, 2024. Mkutano huo unaowakutanisha wadau mbal…
  continue reading
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi wakati akihitimisha Kilele cha Mbio za Mwenge ambazo kitaifa zimefanyika Jijini Mwanza katika Uwanja wa CCM Kirumba tarehe 14 Oktoba, 2024.Ikulu Mawasiliano által
  continue reading
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa kitongoji cha Sokoine wakati wa zoezi la Uandikishaji kwenye Daftari la Wapiga kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kitongoji cha Sokoine, Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 11 Oktoba,2024.Ikulu Mawasiliano által
  continue reading
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali kabla ya kufunga Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi wakati kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo, Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 17 Septemba, 2024.…
  continue reading
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Morogoro kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Jamhuri ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya Kikazi tarehe 06 Agosti, 2024.Ikulu Mawasiliano által
  continue reading
 
How does one transform from a junior officer to a recognized leader? Our special guest recounts their inspiring journey, expressing heartfelt gratitude to the remarkable people and supporters who have been pivotal along the way. Hear personal acknowledgments to Mama Mkapa and the National Council, and uncover the power of collaboration and dedicati…
  continue reading
 
What if the key to battling RNA viruses and ensuring community growth lies in legal and educational reforms? In this episode, we dive deep into a conversation with the Minister of Health and other influential figures who have been pivotal in pushing forward critical initiatives. We discuss the incredible progress being made in public health, the es…
  continue reading
 
Loading …

Gyors referencia kézikönyv

Hallgassa ezt a műsort, miközben felfedezi
Lejátszás